Showing posts with label VODACOM. Show all posts
Showing posts with label VODACOM. Show all posts
You are here : Home » VODACOM
Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bi.Rukia Mtingwa kushoto akimsisitiza jambo Bi.Elizabeth Kavishe(kulia)wakati wa kumkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 1 aliejishindia katika Promosheni ya"MAHELA"inayoendeshwa na kampuni hiyo,katikati ni Meneja wa malipo ya baada wa kampuni hiyo Bw.Ibrahim Kiongozi. Zaidi ya shilingi Milioni 400 zinaendelea kushindaniwa.
Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bi.Rukia Mtingwa kushoto akimsisitiza jambo Bi.Elizabeth Kavishe(kulia)wakati wa kumkabidhi hundi y...Mwei yazidi kunufaisha wanawake wasiokopesheka vijijini
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mrisho Gambo (wa kwanza kushoto) na Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim wakifuatilia maongezi na Menej...