DARE TO DREAM!!

YES NI ILE EVENT AMBAYO HUFANYIKA KILA MWAKA EMELDA WA BANG MAGAZINE AKIISIMAMIA, NA MWAKA HUU INAKUJA TENA, NI WOMEN EMPOWERMENT FORUM 2012.... NA THEME YA MWAKA HUU NI 
POWER...HUMILITY...FUTURE
NJOO UONGEE NA WANAWAKE WENZIO MBADILISHANE MAWAZO,UJUANE NA WENZIO..KUMBUKA ULONACHO MWENZIO HANA NA ALONACHO WE HUNA NJOO UJIFUNZE

NI LINI ::24 NOVEMBA
MUDA ::SAA 2 ASUBUHI HADI 11 JIONI
WAPI ::SERENA HOTEL
KIINGILIO :: 100,000 TU
Post Title : DARE TO DREAM!!

DARE TO DREAM!!,

DARE TO DREAM!!

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...