PAMELA'S SENDOFF


 KITU TOFAUTI ...BI HARUSI MTARAJIWA KAVAA KANGA  NA SIO KAMA VILE TULIVYOKREMISHA MBURUZO SIJUI MIOGAZAA...YEYE KAITINGA FUPIII MAMA OBAMA STYLE NA JUU KATUPIA LACE
                              Nimeizoooom nipate walau jina la khanga wapi.....UBUNIFU TU
JIUGONJWA LAKE
 JIUGONJWA...NI CUP CAKE IKATILIWA SWAG YA KANGA , BO HARUSI ATAKUWA NA MAPENZI MAKUBWA NA KANGA CHEKI ILIVYOKUCHISHA CAKE YAKE
 ONA MILA ILE NYENGINE ILISHINDWA KWA KUDUMBUKIA HAPO CHINI

 KUTIMIZA MILA ILE NYENGINE ILISHINDWA KUNA KITU CHA NDAFU
 MAPAMBO NDO KAMA MNAVYOONA FULL MIDIZI
                                                   KITU CHA MBEGEE ICHOO
NILIPENDA KANGA NDO ILIKUWA DRESS CODE
MC ALIKUWA CHRISS MAUKI

PICHA AHSANTE ::SHEREHEYETU
Post Title : PAMELA'S SENDOFF

PAMELA'S SENDOFF,

PAMELA'S SENDOFF

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...