UPDATE ZA MSIBA WA MAREHEMU FRED MTOI.


Kufuatia kifo cha ndugu yetu, Fred Alex Mtoi, kilichotokea ghafla siku ya Ijumaa, 16 Nov 2012, London, mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kwenda Dar es salaam Tanzania kwa mizishi inafanyika. 

Tunaowomba ndugu na jamaa kusaidia kwa michango yenu ya hali na mali ili tuweze kufanikisha kuupeleka mwili wa marehemu nyumbani.

Michango iwekwe kwenye 
ACC Number :10299068
SC:30-93-29 
LLOYDS TSB BANK
Israel Saria.


Taratibu zote za kuupa heshima za mwisho mwili wa ndugu rafiki yetu mpendwa Fred zitatolewa hapo baadae kupitia blog hii na nyinginezo mara baada ya taratibu za kurelease mwili kukamilika.
 
'Kwa maelezo zaidi wasiliana na 
Saria 07791284317 au William 07404531448.'


 'KWA NIABA YA JUMUIYA YA WATANZANIA - UK na NORTHAMPTON' 
Post Title : UPDATE ZA MSIBA WA MAREHEMU FRED MTOI.

UPDATE ZA MSIBA WA MAREHEMU FRED MTOI.,

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...