ARAFA BRIDAL SHOWER

BRIDE ::ARAFA
VENUE ::NSSF WATER FRONT
EVENT ::BRIDAL SHOWER / SINGO
THEME ::ARABIAN
DRESS CODE ::DISH DASH
MC ::JAMILLA KITIM TIM
CATERING ::TALMA


KUONA MAPAMBO...KUOSHWA.....VIDEO...NILIKOGUSWA NA DISH DASH ZA HAJA DUMBUKIA             

   za DPiiiiii.....BBM,FACEBOOK,TWITTER ...jisevie

SHUGHULI HAIANZI MWALI BILA KUFICHULIWA BABU WEEE
.....Itifaki lazima izingatiwe

ZAWADEEEE....THAWADEEEE..GIFT
 HAKUNA HATA ALOACHWA NA USAFIRI HAPO WATU WAMEKUJA NAYO TOKA MAKWAO KUJA TUZA MWARI WAO, CHEZEA SAIDA SHINA WEYE HAPO KUNA BEGI LA NGUO, POCHI  NA VIPODOZI
unabishaaaa...chungulia video maana kama kusoma huwezi hata picha huoniii?!!

KUONA FATUMA KIBAO ALIVYOJISOSOMOLA NA KULIPUKUTISHA WOWOWO DUMBUKIA HUMU 


 AKAJA NANA AMBAYE NDO MUANDAZI WA HII SHUGHULI AMBAPO ...WAJUZI WA MAMBO WANASEMA ALIKUWA ANALIPA FADHILA KWA SOMO YAKE ZULEKHA LODI ALIVYOMFANYIAGA KWENYE KITCHEN PARTY YAKE...WEMA HAUOZI MAMA
DUMBUKIA HUMU OJIONEEE
                                        YE ALITUNZA VYOMBO VYA JIKONI


                     MAMA WA ARAFA WAO WAKATUNZA VITU VYA BAFUNI NA CHUMBANIYAKAJA MAMBO YETU YALEEEEE.......MONEY..FARANGA....MKWANJA...ANKARA
HESHIMA PESA SHKAMOO MAKELELE
                           WATOTO WA ZULEKHA WALIMTUNXA MAMA YAO


 AKAJA MAMA MZAA CHEMA ZULEKHA LODI AKAMTUNZA SOMO WA MWANAE
 MAMAAAA TALMA CATERING HAKUWA NYUMA MBALI YA ILE BUFEE PIA ALIMTUNZA SAIDA...TOA UPEWE MAMAAA
FAIZA NAE HAKUWA NYUMA AKAMUOGESHA MAMAAKE NA ANKARA
                                                    MASHOST WA FAIZA NAO
                            FAIZA AKARUDI KUJA MPOOZA DADAAKE NANA
 SOMO AKAMTUNZA MWANAE NA KUMUAMBIA HONGERA MWANANGU HIVI NDIO TUNAVYOTAKIWA KUISHI KATIKA DUNIA HIII
                             SOMO SAIDA CHINA NAE ALITUZWA NA SHOGAZEE
                                     MC WA SHUGHULI ALIKUWA JAMILA KITIM TIM
         
     BURUDANI  ILITOKA KWA MELODI ...LIVE BAND SABAH MUCHACHO ALIKUWEPO AKITUMBIA SIADHIRIKI MIE.....
                SABAH AIMBAPO UJUMBE USIPOKUGUSA ....UTAKUWA UMEZIMIKA
                                    AH WATU WALIDUARIKAJEEEEEEEEEE
TALMA CATERING NDO WALISABABISHA UPANDE WA MSOSI...NIKIKUMBUKIA ZILE PRAWNS NA KALAMARI MATE YANIJAA ;)

ZULIANI.....RED CARPET
 NILIKOGUSWA
 MADINIII....LINGEKUWA JIWE NINGEITA KASHATA....KWA MKATO HUU NAOMBA NILIITE PIZZA ;)
                               
                                         KONA NILIZOGUSWA KWA BI HARUSI
         NILIWAAMBIA HILI INGIZO JIPYA NA HII HALI YA HEWA YA JOTO LA DAR...MTOTO WA WAKIKE LAZIMA UWE NACHO POCHINI EEEPost Title : ARAFA BRIDAL SHOWER

ARAFA BRIDAL SHOWER,

ARAFA BRIDAL SHOWER

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...