COLOUR OF THE YEAR 2013

KAMA KAWA KUELEKEA MWISHONI MWA MWAKA 
PANTONE COLOR 
WAMESHATUHABARISHA RANGI YA MWAKA 2013 AMBAYO NII EMERALD ILIYOTOKANA NA HILO DINI HAPO




 NA TAYARI WAMESHATAJA RANGI ZA SPRING ZA MWAKANI AMBAPO GRAYED JADE MAARUFU KAMA MINT IMEPENDEKEZWA KAMA RANGI YA HARUSI YA MWAKA 2013
                                  COLOR OF THE YEAR 2013 FOR WEDDING MINT

KUONA ZAIDI RANGI YA MWAKA 2013 YA HARUSI NA JINSI YA KUITUPIA HII RANGI YA MWAKA KWENYE KILA IDARA YA FASHION, INTERIOR DESIGN NK ZAMA HAPO CHINI



                                                                NITA tupo pamoja ;)
WANAKWAMBIA HII EMERALD GREEN NI RANGI TUIONAYO KILA SIKU KILA SEHEMU HATA BAHARINI IKO
                                          UPANDE WA ACCESORIES AKA VITUPIO

                    NA KWA UPANDE WA INTERIOR DESIGN ,JIKONI NK

 EMERALD INAENDANA NA RANGI ZINGINE SAWA SAWIA PATA PICHA AFRICAN PRINTS ZITAKAVYOBAMBA MWAKANI



                                    UPANDE WA TREND,FASHION & STYLE
NAIINJOY SABABU INAZIDI KURUDISHA FASHION BACK TO AFRICA NAPATIKA PICHA AFRICAN PRINT




UKITAKA JUA HAWA PANTONE WANACHAGUAJE RANGI YA MWAKA TIRIRISHA MACHO HAPO

Pantone arrived at Emerald Green after surveying trends from runways and red carpets, as well as textile developments for interiors. And, Leatrice Eiseman, executive director of the Pantone Colour Institute shares this fun fact: “The most abundant hue in nature, the human eye sees more green than any other color.” (Drop that in conversation today to impress your co-workers.)
In case you’re wondering how Pantone makes this decision, Slate’s investigative report on how the colors get chosen makes it sound really secret agent-y: “Twice a year the company hosts, in a European capital, a secret meeting of representatives from various nations’ color standards groups. After two days of presentations and debate, they choose a color for the following year.”

Post Title : COLOUR OF THE YEAR 2013

COLOUR OF THE YEAR 2013,

COLOUR OF THE YEAR 2013

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...