FUNGA MWAKA


WALIOJIKUBALI NA KUJIAMINI 2012, UNAJUA KUNA VITU NAVIANGALIAGA KISHA NASHINDWA VIELEZEA , HILI WACHA NIJITAHIDI  KUELEZEA BILA SHAKA MTANISOMA....KUNA WATU AMBAO MIMI HUWA WANANIFURAHISHA KAMA SIKUSEMA HUWA NAWAKUBALI WATU AMBAO HUJIAMINI NA KUJIKUBALI KWA KILE WAFANYACHO AU WAKIPENDACHO, KWA KUANZIA NA WACHACHE  NILOTAKA KUFUNGA NAO MWAKA NI HAWA NAWE UTANIAMBIA UWAJUAO NA UTUELEZEE
ANGALIZO :: WATU HAO SIO KWAMBA HAWANA UWEZO KUKIFANYA ICHO KITU BALI NDO WAMEJIAMINI NA WAMEJIKUBALI SAMBAMBA NA KUSIMAMIA WAKIPENDACHO NA AMBACHO WAKO COMFORTABLE NACHO BILA KUJALI KIINGIACHO MJINI,WENGINE WATAWACHUKULIAJE NK

BI HARUSI ANNA, SI KAWAIDA KABISA KWA BI HARUSI KUFANYA HARUSI NA NYWELE FUPI KAMA ZA HUYU DADA, YAANI HAPA KIKAWAIDA NDO INGEKUWA SIKU YAKE YA KUSAKA LACEWIG KAMA SIKUJIVISHA WIVING KAMA SI KUSUKIA ZILE NYWELE ZETU BANDIA (UNAEBISHA REJEA HARUSI ZOOTE HUMU NDANI NILIZOWAHI POST KAMA UTAKUTANA NA BI  HARUSI MWENYE NYWELE AMBAZO NI FUPI)
KWANGU MIMI KAJIAMINI NA KAJIKUBALI
LOL!! MWENGINE HUYU, HAWA NI SHOST WANGU KABISA WA DHATI HATA MIMI NI MMOJA WAPO AMBAYE HUWA NAMSHAWISHI KUNYOA NYUSI,NISHAMPELEKA HADI KWA KUNYOA NA UZI KAMA SI KUMNUNULIA WEMBE MRADI NAE AWE KAMA WADADA WENGINE KUNYOA NYUSI ....SI HAWA JAMANI ATAONA HAYA KUKATAA ATATUMIA GIA YEYOTE ASIUNGANE NASI KATIKA KUNYOA NYUSI NA KAKUBALI KABISA TUMUITE HAWA MINYUSI LAKINI KAJIKUBALI NA KAJIAMINI NA NYUSI ZAKE HAJALI WENGINE WOOTE TWANYOAGA AU LAH!!
DOROTHY, (BLACK BEAUTY) KWA WANAOMJUA DOROTHY WATAKUBALIANA NA MIMI SABABU NI MTU AMBAYE ANAPENDA KWENYE NA WAKATI,FASHIONISTA , KWA TREND HII ILIYOPO(KUJITAKATISHA ;) SIJASEMA KUJICHUBUA EEE) NA UKIMCOMPARE NA YEYE KUKAA NA HII RANGI YAKE KWA MIMI KAJIKUBALI NA KAJIAMINI


YA MWISHO MPO MTAKAOSONYA ILA NDO IVYO ITS ALL ABOUT MY  KT 'KANYAGA TWENDE'  AKA FLAT SHOES ,LOL NINA MASHOST WANAJITOLEA KUNINUNULIA KABISA HIYO MICHUCHUMIO MRADI TU NIVAE WENGINE WAKINIAMBIA NINAMGUU MARA NACHUSHA NA HZI KT ILA NDO NIMESHAJIAMINI NA KUJIKUBAKUBALI NA FLATS ZANGU

FLAVIANA, YE HUYU NI HICHI KIPARA CHAKE, NDIO TUTASEMA NI KAMA TRADEMARK YAKE ,TOKA AMEANZA HII KAZI YAKE...LAKINI KWANGU MIE NAONA KAJIAMINI NA KAJIKUBALI NAYO, MAANA ISINGEKUWA HIVYO AKIWA LIKIZO ANGEKUWA HATA ANABONDI, AU KWENYE EVENT  WANGAPI TUNABADILIA HAIR STYLE  ILA SIKU MBILI ZIKIPITA TUNABADILI HAIR DO , LAKINI MWENYE KAJIAMINI NA KAJIKUBALI NAYO HII

KWA LEO MIE NAISHIA HAPA KAMA UNAWAKO ANAYEJIAMINI  NA  KAJIKUBALI USIACHE NITUMIA
shamyomy@yahoo.com

MIAKA ILIYOPITA TULIFUNGA  MWAKA HIVI ::
BOFYA
ANGALIA MWAKA 2010 
ANGALIA 2012
\
8020 FASHIONS BLOG TEAM
XOXO

XOXO
Post Title : FUNGA MWAKA

FUNGA MWAKA,

FUNGA MWAKA

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...