HBHB KIDS EVENT NDANI YA NYAMA CHOMA

HBHB KIDS EVENT
 ILIVYOFANYA MAMBO KATIKA NYAMA CHOMA FESTIVAL...YES KWA SHEREHE ZA FAMILIA DAY ZA KUFUNGIA MWAKA HBHBKIDS EVENTS INAHUSIKA. INA MICHEZO YA WATOTO YAAINA ZOTE KUANZIA JUMPING CASTLE KUUUBWAA LINALOWEZA TUMIKA NA WATOTO ZAIDI YA 30 KWA PAMOJA, PIA WANA SLIDE ZA SWIMMING,HAKUNA KUZAMA ILA MTOTO ANAENJOY NA MAJI ZAMBAMBA NA ZULIA KUUUBWA LINAVYOFANYA MWANAO KUCHEZA BILA KUCHAFUKA NA MICHEZO MINGINE KIBAO BILA KUSAHAU THEM TOFAUTI
KUONA ZAIDI KAZI ZAO ZAMA

WASILIANA NAO ::0757 022 884, 0713491151.

 Email: hbhb@kidsevents.co.tz, on twitter@hbhbkids
HILI NDO LILE NILILOWAADISIA NI KUBWA NDANI YAKE KUNA MICHEZO TOFAUTI HUMO HUMO....WANACHEZA HUKU WANA'RERAX' ;)
BILA KUSAHAU WANAPAINT FACE SAMBAMBA NA WATOTO KUCHORA NA KUPAKA RANGIHII WALIHUDUMIA NYAMA CHOMA FESTIVAL

Post Title : HBHB KIDS EVENT NDANI YA NYAMA CHOMA

HBHB KIDS EVENT NDANI YA NYAMA CHOMA,

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...