MKURUGENZI WA VODACOM RENE MEZA AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI.

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza, akimkabidhi hundi yenye thamani ya Tsh 500,000 mfanyakazi bora wa mwezi wa kampuni hiyo Bw.Taha Madan,anaeshuhudia kushoto ni Ofisa Mkuu wa kitengo cha IT&Billing Bw.Luis Fedriani.

Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza (kulia) akiwapongeza baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo mara baada ya kuwakabidhi hundi  yenye thamani ya Tsh 500,000 kwa kufanya kazi katika kampuni hiyo kwa muda wa zaidi ya miaka kumi tangia ianze kutoa huduma zake hapa nchini.


 .Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza,akiongea na wafanyakazi wa kampuni hiyo kuhusiana na mafanikio ya mwaka huu ya kampuni hiyo.

.Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakimsikiliza Mkurugenzi wao  Bw.Rene Meza  akiongea nao kuhusiana na mafanikio ya mwaka huu ya kampuni hiyo.
Post Title : MKURUGENZI WA VODACOM RENE MEZA AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI.

MKURUGENZI WA VODACOM RENE MEZA AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI.,

MKURUGENZI WA VODACOM RENE MEZA AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI.

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...