RATIBA YA MSIBA ::MAMA OLIVIA LUGELEKA

RATIBA YA MSIBA WA MAMA YAKE OLIVIA (BONGOSHOPAHOLIC) ALIYEFARIKI JUZI ASUBUHI NI JUMAMOSI TAREHE 22 DEC AMBAPO MAREHEMU ANAZIKWA LEO KATIKA MAKABURI YA KINONDONI NA RATIBA NI KAMA IFUATAVYO
SAA 10:00 -12:00 MCHANA KUTAKUWA NA CHAKULA CHA MCHANA NYUMBANI KWAO MAKUMBUSHO
SAA 13::00 -14:00 MCHANA MWILI WA MAREHEMU KUWASILI NA MISA NA KUAGWA
SAA 15::00-16:00 MWILI KUPELEKWA MAKABURINI NA KUPUMZISHWA KATIKA NYUMBA YAKE YA MILELE

R.I.P MAMA OLIVIA TUTAKUKUMBUKA DAIMA
Post Title : RATIBA YA MSIBA ::MAMA OLIVIA LUGELEKA

RATIBA YA MSIBA ::MAMA OLIVIA LUGELEKA ,

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...