EPIC EVE COLLECTIONS 2012. BY EVE COLLECTIONS

HEHEHEYAAAAA!! HIVI NDIVYO 
EVE COLLECTIONS 
ANAVYOANZA MWAKA 2013...KWA KUITAMBULISHA CLOSET YAKE ,SAMBAMBA NA MADAM RITA AMBAPO MBALI NA KUONESHA DESIGN ZAKE NA ZILE ALIZOMDESIGNIA MADAM RITA ...ANAKWAMBIA YEYE ANADESIGN MAALUM KWA WATU MAALUM KWA SIKU ZAO MUHIMU KAMA WE NI BIHARUSI, MAMA,DADA,SHANGAZI NA HATA MDOGO WA BI HARUSI ANATO STYLE YAKO,

WANAPATIKANA :: ARCADE HOUSE OPPOSITE EAST24 RESTAURANT
WASILIANA NAO ::0787792070HII NDIO NGUO YAKE YA KUFUNGIA MWAKA AMBAYO ALIIFANYIA KAZI ZA MKONO KWA KUREMBA NA SHANGA UIONAVYO HAPO INA UZITO WA KILO KADHAA                       BRIDAL MIXED WITH KITENGE ...Perfect for kitchen party
             ZIP SWAGG...COLOR COMBO

            EVE CLOSET NDO IYO......NA KUONA DESIGN ZAKE NYENGINE ZAMA HAPO
ZAIDI YA KUDESIGN NGUO PIA EVE COLLECTIONS WANADESIGN NA JEWELLERS PIA, KILA RANGI NI WEWE TU MATCHISHA KWAKO 

           JIPATIE PICHA WEWE NI DADA WA BIHARUSI UMETOKELEZEA  IVO


  NYOTANYOTA kitenge mixed with  lace  & Bridal....i cant wait mine kwa birthday yangu....Watch Me!! ;)


                Mnakumbuka My look at Naima kitchen Party
                             ZIP NJE SWAGG....Only at Eve Collections

TOPS KAMA IZO ZA SHIFFONI ZA KILA RANGI UTAZIPATA EVE COLLECTION PEKEE
                                             MIXED PRINTS WITH DENIM


MY EPIC EVE  COLLECTIONS  2012.
This collections came about when I wanted to do the dress I did for my dear friend Madame Rita Paulsen. This dress she would have worn it on the finale of Epic Bongo Star Search 2012.  This unfortunately  didn’t happen, despite this, it represents my best work of the year. Thus , it inspired me to make a photo collections of these works including my prior works to catalogue all the great works that I have up to this moments as a testimony of my continued belief that in Tanzania we too can rewrite the fashion story and put our names on the world of fashion.
I do hope and trust you and your followers will  also be inspired as I have been with this works.  Enjoy.

THE CREATIVE DIRECTOR OF EVE COLLECTIONS
 MISS EVELYN RUGEMALIRA

DESIGNED BY ::EVE COLLECTIONS
MAKE UP BY ::GLAMBOX
PHOTOGRAPH ::UNIQUEXPRESSION


Post Title : EPIC EVE COLLECTIONS 2012. BY EVE COLLECTIONS

EPIC EVE COLLECTIONS 2012. BY EVE COLLECTIONS,

EPIC EVE COLLECTIONS 2012. BY EVE COLLECTIONS

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...