HABARI::SAJUKI HATUNAYE


NIMEGUSWA, KWANI MIMI NA WADAU TULISHIRIKI KATIKA KUMCHANGIA MAREHEMU APATE PESA ZA MATIBABU, TUKAFANIKISHA HILO, NA JANA TU NILIKUWA NAANGALIA KIPINDI CHA MKASI ALICHOKUWA ANAHOJIWA NA SALAMA J .
SISI TULIMPENDA BALI MUNGU KAMPENDA ZAIDI.


 POLE SAANA WASTARA, POLENI FAMILIA,POLENI NDUGU NA MARAFIKI

Post Title : HABARI::SAJUKI HATUNAYE

HABARI::SAJUKI HATUNAYE,

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...