MSHAURINI ::MIDOMO YAKE MEKUNDU


Naomba msaada wenu wadau mimi nina midomo mwekundu yaan inanikosesha raha maana watu wananiona kama sio normal, na naona watu wengine wakiniangalia wananichukulia kama mgonjwa. Naomba msaada wadau nifanyeje ili kuondoa huo wekundu wa mdomo ni kama imeungua na mimezaliwa ikiwa hivyo. Naombeni mnisaidie,
 Queen Arusha

Post Title : MSHAURINI ::MIDOMO YAKE MEKUNDU

MSHAURINI ::MIDOMO YAKE MEKUNDU,

MSHAURINI ::MIDOMO YAKE MEKUNDU

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...