NAFUE ALIVYOBADILI STYLE YA MAKE UP BONGO

KAMA WEWE NI MSOMAJI WA 8020 FASHIONS BLOG HUTOBISHA KUWA MIMI NAGUSWA SAANA NA MAKE UP ZA MABIBI HARUSI WA KINIGERIA (WAPOPO) NA NDIO MAANA SIISHI KUPOST HARUSI ZA KINIGERIA HUMU NDANI, JAPO KUWA KUNA WATU HAWAFURAISHWI NAZO, ILA NIA NA MADHUMUNI ILIKUWA NI
KUJIFUNZA KITU KUTOKA KWAO 
NA SASA NINA RAHAA KUONA KELELE NILIZOKUWA NAZIPIGA SASA UJUMBE UMEFIKA NA KAZI IMEFANYIKA AMBAPO
  BI NAFUE WA GLAMBOX
AMEWEZA WAGEUZA MABIHARUSI WETU NA HATA WADADA KUBANA VYEMA NYWELE NA KUPAKA MAKE UP AS POWDER ZA RANGI ZAO NA KUPAKA UREMBO (EYE SHADOW) CHACHE NA ZINAZOENDANA NA WAO NA KUACHANA NA RAINBOW ZILIZOKUWA ZAFANYA WAONEKANE VINYAGO PINDI WATOKEAPO HADHARANI
(Mtu kupaka wanja wa silver  kwenye nyusi na kupaka poda ya mzungu ina khusuuuu)
SAMAHANI LAKINI ;)

                                   Lol Madam Glambox na lemba la kinigeria eeee basi sawa

BI NAFUA ALIFANYA MAHOJIANO NA GAZETI KONGWE NA DAILY NEWS  NA ALITIRIRIKA IPASAVYO ....KUSOMA ZAIDI ZAMA HAPO CHINI
KUISOMA MAKALA YAKE ALOFANYA NA MARIAM SAID  , NA MIMI NIMEFURAHI KUSOMA 8020FASHIONSBLOG NI SEHEMU YA MAFANIKIO YA GLAMBOX ZAIDI SOMA HUMU

Post Title : NAFUE ALIVYOBADILI STYLE YA MAKE UP BONGO

NAFUE ALIVYOBADILI STYLE YA MAKE UP BONGO,

NAFUE ALIVYOBADILI STYLE YA MAKE UP BONGO

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...