Wanachuo Kipawa sasa kulipa ada kwa M-PesaMkuu wa chuo cha VETA kipawa, Jijini Dar es Salaam,  Eng. Lucius Luteganya, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa ulipaji ada kwa wanafunzi wa chuo hicho kupitia huduma ya M – Pesa. Kufuatia ushirikiano kati ya chuo hicho na Vodacom Tanzania. Kushoto ni Mkuu wa ukuzaji biashara – M - PESA Jackson Kiswaga.


  

: Meneja mawasiliano wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa, akimuelezea jambo Mkuu wa Chuo cha Veta Kipawa,  Eng. Lucius Lutenganya wakati wa uzinduzi wa ulipaji ada kupitia huduma ya M – pesa kwa wanafunzi wa chuo hicho. Katikati ni Mkuu wa Ukuzaji Biashara – M -  PESA, Jackson Kiswaga.

Post Title : Wanachuo Kipawa sasa kulipa ada kwa M-Pesa

Wanachuo Kipawa sasa kulipa ada kwa M-Pesa,

Wanachuo Kipawa sasa kulipa ada kwa M-Pesa

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...