WANAWAKE WA RUHEMBE WACHANGAMKIA MKOPO USI NA RIBA KUTOKA VODACOM TANZANIA


Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu,akimuongelesha jambo mtoto Husna Hussen mwenye umri wa miezi(7)aliefika na mama yake mzazi Asha Mohamed kulia katika ofisi za kijiji cha Luhembe Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro,kwa ajili ya kukopeshwa pesa na  Vodacom kupitia mradi wake wa Mwei unaotoa mikopo isiyokuwa na riba kwa wajasiriamali wanawake wadogo na kuzirudisha kwa njia ya M-Pesa,zaidi ya wanawake 154 wamenufaika na mkopo huoMkuu wa Wilaya ya Kilosa  Elias Tarimo katikati akisaini kitabu cha wageni wa kijiji cha Luhembe mara alipofika katika ofisi za kijiji hicho kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wakina mama wajasiriamali wa kijiji hicho iliyotolewa na Vodacom Tanzania,kupitia mradi wake wa “Mwei” unaotoa mikopo isiyokuwa na riba na kurushwa kwa njia ya M-Pesa,wanaoshuhudia kushoto ni Afisa wa Vodacom Foundation Ally Mbuyu na kulia ni Meneja wa mfuko huo Grace Lyon.

Meneja wa Vodacom Foundation Grace Lyon akiongea na baadhi ya kinamama wajasiriamali wa kijiji cha Luhembe Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro,waliofika katika ofisi za kijiji kwa ajili ya kukopeshwa pesa na  Vodacom kupitia mradi wake wa “Mwei” unaotoa mikopo isiyokuwa na riba kwa wajasiriamali wanawake wadogo na kuzirudisha kwa njia ya M-Pesa zaidi ya wanawake 154 wamenufaika na mkopo huo kijijini hapo.

Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Elias Tarimo wapili toka kulia akimkabidhi fedha Bi.Asia Kondo ambae ni mjasiriliamali wa kijiji cha Luhembe alipofika katika  hafla ya kutoa mikopo kwa wakina mama wajasiriamali wa kijiji hicho iliyotolewa na Vodacom Tanzania,kupitia mradi wake wa “Mwei” unaotoa mikopo isiyokuwa na riba na kurudishwa kwa njia ya M-Pesa,wanaoshuhudia kulia ni Meneja wa Vodacom Foundation Grace Lyon na watatu ni Afisa wa Vodacom Foundation Ally Mbuyu na Mtendaji wa kata ya Luhembe Bw.Richard Kigave

Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Elias Tarimo wapili toka kulia akimkabidhi fedha Bi.Asanteni Musa  ambae ni mjasiriliamali wa kijiji cha Luhembe alipofika katika  hafla ya kutoa mikopo kwa wakina mama wajasiriamali wa kijiji hicho iliyotolewa na Vodacom Tanzania,kupitia mradi wake wa “Mwei” unaotoa mikopo isiyokuwa na riba na kurudishwa kwa njia ya M-Pesa,wanaoshuhudia kulia ni Meneja wa Vodacom Foundation Grace Lyon na watatu ni Afisa wa Vodacom Foundation Ally Mbuyu na Mtendaji wa kata ya Luhembe Bw.Richard Kigave.

Post Title : WANAWAKE WA RUHEMBE WACHANGAMKIA MKOPO USI NA RIBA KUTOKA VODACOM TANZANIA

WANAWAKE WA RUHEMBE WACHANGAMKIA MKOPO USI NA RIBA KUTOKA VODACOM TANZANIA,

WANAWAKE WA RUHEMBE WACHANGAMKIA MKOPO USI NA RIBA KUTOKA VODACOM TANZANIA

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...