Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bi.Rukia Mtingwa kushoto akimsisitiza jambo Bi.Elizabeth Kavishe(kulia)wakati wa kumkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 1 aliejishindia katika Promosheni ya"MAHELA"inayoendeshwa na kampuni hiyo,katikati ni Meneja wa malipo ya baada wa kampuni hiyo Bw.Ibrahim Kiongozi. Zaidi ya shilingi Milioni 400 zinaendelea kushindaniwa.

Afisa bidhaa na huduma wa Vodacom Tanzania Bw.Athanas Muhanuzi(kushoto)akimkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 1 Bw. Stanley Maliwa,aliejishindia katika  Promosheni ya"MAHELA"inayoendeshwa na kampuni hiyo,katikati ni Meneja Mawasiliano wa kampuni hiyo Bi.Rukia Mtingwa. Zaidi ya shilingi Milioni 400 zinaendelea kushindaniwa.  

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...