ONJA :: HAWA'S BIRTHDAY


DR AGRICOLA AKIMSHUKURU HAWA  KWA MSAADA NA KUWAHAMASISHA MIMI NA WEWE KWENDA KUWASAIDIA WATOTO HAWA NA FAMILIA ZAO AMBAO NI WAHITAJI , WENGI WANAPELEKWA PALE WAKIWA HAWANA UWEZO NA VIPIMO NA MATIBABU YA UGONJWA HUU  AMBAO UNAHITAJI VIPIMO NA DAWA  AMBAVYO NI CT SCAN @50,000 MRI @100,000 USS @30,000 VP SHANT TUBE @80,000 PAMOJA NA DAWA ,MAZIWA NA PAMPERSBAADA YA HAWA KUTOA MSAADA KWA WAGONJWA  TULIPEWA SOMO JUU YA HUU UGONJWA WA VICHWA VIKUBWA NA MGONGO WAZI NA VIONGOZI WA CHAMA CHA WATOTO WENYE MARADHI HAYO (ASSOSIATION FOR SPINA BIFIDA HYDROCEPHALUS TANZANIA ) ASBAHT AMBAO WALITUELEZA UGONJWA HUU UKOJE NA JINSI YA KUJIKINGA NA MATIBABU YAKE CHEKI VIDEO
na kuwasiliana nao wacheki
+255 784 407206 /0713408987
email :: tuwasaidie@yahoo.com

ONA VIDEO UPATE SOMO ZAIDI                                   AKIELEZEA KUHUSU VICHWA VIKUBWA

                                        AKIELEZEA KUHUSU MGONGO WAZI

YEYOTE ATAKAEGUSWA NA KUTAKA KUSAIDIA TUWASILIANE NIMPE CONTACT ZA DR AGRICOLA  email shamomy@yahoo.com simu 0784 418941

PICHA ZAIDI ZAJA ...REFRESH ZE PAGE
Post Title : ONJA :: HAWA'S BIRTHDAY

ONJA :: HAWA'S BIRTHDAY ,

ONJA :: HAWA'S BIRTHDAY

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...