VODACOM YASHINDA TUZO YA UWASLISHAJI WA MICHANGO NSSF


Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Self Ali Idd,akimkabidhi Mkuu wa Vodacom Tanzania,Kanda ya kaskazini,Bw.Philemon Chacha tuzo ya mchangiaji bora wa michango ya wanachama katika mfuko wa pensheni wa NSSF kwa makampuni ya mawasiliano nchini.Vodacom imeshinda tuzo hiyo na kukabidhiwa wakati wa hafla ya ufunguzi wa mkutano wa tatu wa wadau wa mfuko wa NSSF uliofanyika Mount Meru Hoteli jijini Arusha.
.picha ya pamoja ya washindi wa tuzo za wachangiaji bora wa mfuko wa hifadhi ya jamii ya NSSF pamoja na Makamu wa  pili wa Rais wa Serikali ya mapinduzi Zanzibar Balozi, Self Alli Idd pamoja na viongozi wengeni wa mfuko wa NSSF.

Mkuu wa Vodacom Tanzania,Kanda ya kaskazini Bw.Philemon Chacha akiwa na  Meneja wa uendelezaji biashara wa kanda hiyo Bw. Philemon Matoi na tuzo waliyokabidhiwa kwa niaba ya kampuni ya vodacom Tanzania baada ya kuongoza kwa makampuni yote ya mawasiliano katika uchangiaji wafanyakazi wake katika mfuko wa pensheni ya NSSF, tuzo hiyo ilitolewa na makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Self ali Idd katika mkutano wa tatu wa wadau wa mfuko huo, Mount Meru hoteli jijini Arusha..Picha ya pamoja na wageni waalikwa katika mkutano wa tatu wa NSSF jana mount Meru hoteli jijini Arusha.

Post Title : VODACOM YASHINDA TUZO YA UWASLISHAJI WA MICHANGO NSSF

VODACOM YASHINDA TUZO YA UWASLISHAJI WA MICHANGO NSSF,

VODACOM YASHINDA TUZO YA UWASLISHAJI WA MICHANGO NSSF

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...