WANAWAKE WA ARUSHA MPOOOOOOOOOOOO.....

 WANAWAKE WA ARUSHA MPOOOOOOOOOOOO.....

Hehe heiya wapendwa wangu natumaini MUNGU amekuwa mwema kama alivyo siku zote na amewabariki mkaiona siku hii ya leo.

Leo nataka kuongea na wanawake kwa ujumla wadada/wamama/wake/wachumba wote mlio Arusha na mikoa ya jirani shoga miye ndio huyo naja huko tukutane tarehe 09/02/2013 jumamosi Penguin Resort Hotel-Sakina 20,000/= yako tu 11:00jioni  njoo ujipe raha, ujifunze maujuzi, uutambue mwili wako uzidi kujiongezea mautamu mwanamke kujipenda bwana asikwambie kitu mengine yote nyongeza, utaonyesha tofauti ya kiuno cha kitandani na kiuno cha ndombolo, matumizi ya Tango, kitunguu swaumu, mchaichai, mdalasini, alovera,asali,ubuyu,biringanya na mengine mengi baada ya kufundwa hutakaa uyakose nyumbani kwako.

Karibuni sana kwa maswali na maelekezo zaidi wasiliana nami


http://rosemarymizizi.blogspot.com/

 Rosemary Mizizi
Mobile:+255 717 019320
BBM PIN:23A0C2B4

 PENGUIN RESORT HOTEL, Ipo Nairobi/Moshi road jirani na Sakina Super Market,
Post Title : WANAWAKE WA ARUSHA MPOOOOOOOOOOOO.....

WANAWAKE WA ARUSHA MPOOOOOOOOOOOO.....,

WANAWAKE WA ARUSHA MPOOOOOOOOOOOO.....

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...