WARSHA YA OXFAM SIKU YA TATU

KISUMA MAPUNDA KUTOKA OXFAM AKITOA SOMO LEO KATIKA WARSHA

 MWANAHAMISI SALIMU KUTOKA OXFAM AKITUCHEZESHA MCHEZO AMBAPO ILIKUWA NI SEHEMU YA SOMO LA LEO

                     DINA MARIOS NAE NI MMOJA WA MABALOZI WA OXFAM

                        OXFAM WARSHA SIKU YA PILI

 MWANAHAMISI SALIMU KUTOKA OXFAM AKITUPA SHULE IHUSIANAYO NA MASUALA YA CHAKULA NA ARDHI
....UNGEPENDA SIKIA TUNAYOAMBIWA HAPA VERY INTERESTING.....TUONANE MARCH 3 DIAMOND JUBILEE
 UNAJUA KUWA WAKULIMA WADOGO NDIO WANAOZALISHA CHAKULA BORA NA SALAMA?!! HATA WEWE WAWEZA KUWA MMOJA WAO, UTAKAEZALISHA CHAKULA ASILI ILI KUEPUKANA NA VYAKULA VYA DIGITAL VITUATHIRIVYO
MARC WEGERIF MENEJA WA OXFAM AKITUPA SHULE
 MAMA SHUJAA PAMOJA NA MABALOZI WA OXFAM NDO WASHIRIKI WA WARSHA HII

HATA MIMI NI BALOZI NA MENGI NIMEJIFUNZA.....PAMOJA NA UJASIRIAMALI NAMI SASA NI MKULIMA....WATAKA JUA SIRI YANGU....NJOO MARCH 3 , KWENYE                                JB NA KAKA BONDA NAO NI MABALOZI
                       KA MASOUD KIPANYA NA MWANAFA NI MABALOZI
        DA KHADIJA MWANAMBOKA NA KA MASOUD KIPANYA NAO NI MABALOZI
                        BILL NDO MPIGAJI PICHA WETU NA MJUZI WA IT

KATIKA WARSHA HII KUNA WASHIRIKI AMBAO NI WAKULIMA NA WAFUGAJI
BAADA YA DARASA KUNA KAZI YA MAGROUP 

                                           MSHINDI WA MAISHA PLUS

        OXFAM WARSHA SIKU YA KWANZA

UMEKULA, Unajua kuwa kuna maelfu ya watu hawajui watakula nini leo? unajua kuwa kuna mamilioni ya wakulima hawapati stahiki ya kazi zao? Oxfam ikishirikiana na mama shujaa, maisha plus na mabalozi, wako kwenye kambi maalum kupanga mkakati ya kupambana na hali hii!


MIMI NIKO HAPA LEO KAMA BALOZI WA OXFAM NA MEENGI ZAIDI TUTAYASIKIA SIKU YA WOMEN CELEBRATIONS 2013


MTAALUM  JUMA MNWELE AKITOA ELEKEZI KWA WASHIRIKI WA WARSHA
 NAJUA WEWE ULIZAWADIA SHAMBA KM ZAWADI SIKU YA HARUSI, KUNA LILE SHAMBA ULILIRITHISHWA, KUNA KILE KIHAMBA UMENUNULISHWA UMEKIFANYIA NINI, OXFAM WANAJIBU.... UJE UONGEE NAO MARCH 3 DIAMOND JUBILEE KATIKA SHEREHE ZA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Post Title : WARSHA YA OXFAM SIKU YA TATU

WARSHA YA OXFAM SIKU YA TATU,

WARSHA YA OXFAM SIKU YA TATU

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...