AFRICANDO TUMEHAMIA KINONDONI MUSLIM
NI WALE MABINGWA WA UUZAJI WA VITENGE KUTOKA WEST AFRIKA, WAMEHAMIA KINONDONI MUSLIM NA SINZA BADO WAPO PIA (WAONE SINZA MAKABURINI KARIBU NA MWIKA SOCIAL HALL KUELEKEA MLIMANI CITY). WANA VITENGE VIPYA VIKIWEPO VYA NYOTA NYOTA, PITA UKAJISEJIA WAKO KATI YA MUJI
WANAPATIKANA::KINONDONIU MUSLIM OPP NA NA GETI LA KINONDONI MUSLIM SEC
Post Title :
AFRICANDO TUMEHAMIA KINONDONI MUSLIM
0 comments
Post a Comment