Inviting You to A Special Valentine's Day Dinner


"Mikono Media tunakukaribisha wewe na mpenzi wako ujumuike nasi
Alhamis ijayo, tarehe 14 Mwezi huu,
kusherehekea siku maalum ya Wapendanao (Valentine's Day) kwenye ukumbi wa JB
Belmont Hotel. Pata chakula cha usiku, muziki murua na mandhari nzuri kabisa
kwa ajili yako wewe na mpenzi wako, bila kusahau ugeni maalum kutoka kwa Bw.
Chris Mauki atakayetuelimisha zaidi kuhusu kujenga mahusiano imara ya
kimapenzi. Kiingilio ni Tsh 100,000/= kwa mtu na mpenzi wake (couple)
kuanzia saa 12 jioni. Fanya
booking mapema, piga simu namba 0717 109362. Wahi sasa nafasi ni chache."



Make Love Work. Book Your Place NOW!

Post Title : Inviting You to A Special Valentine's Day Dinner

Inviting You to A Special Valentine's Day Dinner ,

Inviting You to A Special Valentine's Day Dinner

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...