WARSHA YA OXFAM SIKU YA TATU
![]() |
KISUMA MAPUNDA KUTOKA OXFAM AKITOA SOMO LEO KATIKA WARSHA |
MWANAHAMISI SALIMU KUTOKA OXFAM AKITUCHEZESHA MCHEZO AMBAPO ILIKUWA NI SEHEMU YA SOMO LA LEO
DINA MARIOS NAE NI MMOJA WA MABALOZI WA OXFAM
OXFAM WARSHA SIKU YA PILI
MWANAHAMISI SALIMU KUTOKA OXFAM AKITUPA SHULE IHUSIANAYO NA MASUALA YA CHAKULA NA ARDHI
....UNGEPENDA SIKIA TUNAYOAMBIWA HAPA VERY INTERESTING.....TUONANE MARCH 3 DIAMOND JUBILEE
UNAJUA KUWA WAKULIMA WADOGO NDIO WANAOZALISHA CHAKULA BORA NA SALAMA?!! HATA WEWE WAWEZA KUWA MMOJA WAO, UTAKAEZALISHA CHAKULA ASILI ILI KUEPUKANA NA VYAKULA VYA DIGITAL VITUATHIRIVYO
MARC WEGERIF MENEJA WA OXFAM AKITUPA SHULE
MAMA SHUJAA PAMOJA NA MABALOZI WA OXFAM NDO WASHIRIKI WA WARSHA HIIMARC WEGERIF MENEJA WA OXFAM AKITUPA SHULE
HATA MIMI NI BALOZI NA MENGI NIMEJIFUNZA.....PAMOJA NA UJASIRIAMALI NAMI SASA NI MKULIMA....WATAKA JUA SIRI YANGU....NJOO MARCH 3 , KWENYE
JB NA KAKA BONDA NAO NI MABALOZI
KA MASOUD KIPANYA NA MWANAFA NI MABALOZI
DA KHADIJA MWANAMBOKA NA KA MASOUD KIPANYA NAO NI MABALOZI
BILL NDO MPIGAJI PICHA WETU NA MJUZI WA IT
![]() |
KATIKA WARSHA HII KUNA WASHIRIKI AMBAO NI WAKULIMA NA WAFUGAJI BAADA YA DARASA KUNA KAZI YA MAGROUP |
MSHINDI WA MAISHA PLUS
OXFAM WARSHA SIKU YA KWANZA
UMEKULA, Unajua kuwa kuna maelfu ya watu hawajui watakula nini leo? unajua kuwa kuna mamilioni ya wakulima hawapati stahiki ya kazi zao? Oxfam ikishirikiana na mama shujaa, maisha plus na mabalozi, wako kwenye kambi maalum kupanga mkakati ya kupambana na hali hii!
MIMI NIKO HAPA LEO KAMA BALOZI WA OXFAM NA MEENGI ZAIDI TUTAYASIKIA SIKU YA WOMEN CELEBRATIONS 2013
![]() |
MTAALUM JUMA MNWELE AKITOA ELEKEZI KWA WASHIRIKI WA WARSHA |
NAJUA WEWE ULIZAWADIA SHAMBA KM ZAWADI SIKU YA HARUSI, KUNA LILE SHAMBA ULILIRITHISHWA, KUNA KILE KIHAMBA UMENUNULISHWA UMEKIFANYIA NINI, OXFAM WANAJIBU.... UJE UONGEE NAO MARCH 3 DIAMOND JUBILEE KATIKA SHEREHE ZA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Post Title :
WARSHA YA OXFAM SIKU YA TATU
0 comments
Post a Comment