WOMEN CELEBRATION 2013:: MAIN SPONSOR EXIM BANK WEF- TUMAINI ACCOUNT
YES KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI NA KATIKA
8020 FASHIONS BLOG
KUISHEREHEKEA NA WANAWAKE SHEREHE YA
WOMEN CELEBRATIONS 2013
TUKASEMA TUSIJE KUTANA KULA NA KUNYWA TU BALI PIA TUPEANE MAMBO MAZURI AMBAPO NILIWAONA
WOMEN CELEBRATIONS 2013
TUKASEMA TUSIJE KUTANA KULA NA KUNYWA TU BALI PIA TUPEANE MAMBO MAZURI AMBAPO NILIWAONA
EXIM BANK
NAO WAKANIAMBIA WANA KITU KIZURI KWA WANAWAKE AMBACHO NI AKAUNTI YETU SISI WANAWAKE WAMEIPA JINA LA
TUMAINI ACCOUNT
MIMI NAWASHAURI WANAWAKE WOOTE TUWE NA HII AKAUNT YA TUMAINI KAMA ILIVYO JINA LAKE INALETA TUMAINI KWETU SISI, WAJASIRIAMALI, WAFANYAKAZI, WAMAMA WA NYUMBANI NK KWANI HAIMBAGUI MWANAMKE YEYOTE ZAIDI UKIWA NA HII AKAUNT AMBAYO UNAFUNGUA KWA SHILINGI YA KITANZANIA ALFU TANO TU (5000 /=)
HIVYO BASI HATA WEWE MWANAMKE LEO HII KAMA WATAKA FUNGUA ACCOUNT NENDA EXIM BANK FUNGUA TUMAINI ACCOUNT , NA UKIKOSA MUDA SIKU HIYO UJE NA ALFU YAKO TANO (5000) TU UFUNGULIWE ACCOUNT.
MAMBO YA KIKE ..KIKENI SHOST ;)
SIKU YETU!!...SHUGHULI YETU!!....KWA RAHA ZETU!!
Post Title :
WOMEN CELEBRATION 2013:: MAIN SPONSOR EXIM BANK WEF- TUMAINI ACCOUNT
0 comments
Post a Comment