WOMEN CELEBRATIONS 2012 ...ILIVYOKUWA
KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI NA KATIKA
8020 FASHIONS BLOG
KUISHEREHEKEA NA WANAWAKE SHEREHE YA
WOMEN CELEBRATIONS 2013
WOMEN CELEBRATIONS 2013
TUMEONA TUKUSHANE YALIYOJIRI MWAKA JANA , SAFARI HII TUNAIBORESHA ILE SEHEM YA KUPEANA VYETI VYA SHUKRAN TUTAIFANYIA HAPAHAPA BLOGUNI, SIKU A SHUGHULI NI KULA, KUCHEZA NA KUPEANA MAUJUZI YA MAISHA ZAIDI
KUONA YALOJIRI ZAIDI ZAMA
HUMO
#TB
WAHESHIMIWA ,NAIBU WAZIRI WA JINSI ,WANAWAKE NA WATOTO UMMY MWALIM (shoto) na MHESHIMIWA CATHERINE MAGIGE (kulia)WALIOKUJA KUUNGANA NASI KUISHEREHEKEA SIKU YETU YA WANAWAKE DUNIANI AMBAPO KILELE CHAKE KITAKUWA 8 MARCH
MHESHIMIWA ALIKUWA NA UJUMBE KWA WANAWAKE WALIOKUSANYIKA
MKURUGENZI WA KIWOHEDE JUSTA MWAITUKA NA MSAIDIZI STELLA MWAMBENJA WAKIPOKEA RISITI YA VYEREHANI AMBAVYO TULIWAPA ILI KUSAIDIA KUTIMIZA NDOTO ZA WASICHANA WANAOWAFUNDISHA
KUTOKA UNITY OF WOMENS FRIENDS,MWATEEVE COLLECTION .....ALIYETUVISHA MI NA MHESHIMIWA UMMY MWALIM
KUTOKA COMFORT GROUP
KUTOKA PRETTY LADIES, PAMELA
KUTOKA MAUREL ET PROM,RACHEL
MADAM CECY KUTOKA VIRAGO
KUTOKA NSSF,KHALAT REHEMA |
DEVOTA DIVA NAE ALIWAKILISHA
KUTOKA LB COUTURE BY SLS
TANZANIA WOMEN ACHIEVEMENT AWARD,HELEN KIWIA
KUTOKA FOWARD MOTION,SOPHIA BYANAKU
KUTOKA FM EVENT & FRIENDS,HALIMA NASSORO
KUTOKA DESERT ROSE ,ZULEKHA LODI
KUMBUKA VYETI VYA MWAKA HUU TUTAGAWA KWA VIKUNDI VILIVYONUNUA MEZA NA VITAGAIWA HAPA HAPA BLOGUNI
USHABOOK MEZA YAKO, JE KIKUNDI AU JINA LA MEZA YAKO NI LIPI?
TUPIGIE
0784 418941 /0755 551077
Post Title :
WOMEN CELEBRATIONS 2012 ...ILIVYOKUWA
0 comments
Post a Comment