WOMEN'S CELEBRATIONS 2013:SPONSOR ::AZH PHOTOGRAPHY
KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI , NASI
8020 FASHIONS BLOG
TUMEWAANDALIA TUKIO LA
AMBAPO WANAWAKE WA JIJINI NA NJE YA MKOA TUTASHEREHEKEA SIKU YETU MARCH 3 KATIKA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE NA SAFARI HII UTAKUWA NA MPIGA PICHA RASMI WA MATUKIO AMABYE YEYE NI PROFFETIONAL KATIKA UPIGAJI PICHA NA CHAKUFANYA USIKUBALI KURUKWA KWENYE ZULIA JEKUNDU....RED CARPET MAANA HABARI NI NENE
AZH PHOTOGRAPHY
AMBAO WAO WANAJISHUGHULISHA NA UPIGAJI PICHA ZA MATANGAZO,MATUKIO NK,
CHEKI PICHA ZAO ZAIDI NA PIA WATEMBELEE KWENYE UKURASA WAO WA FACEBOOK.COM/AHAKIMJEE
Post Title :
WOMEN'S CELEBRATIONS 2013:SPONSOR ::AZH PHOTOGRAPHY
0 comments
Post a Comment