WOMEN DIALOGUE FRONT 2013 ::JIJINI MWANZA
HAYA HAYA WANAWAKE WA MWANZA KATIKA KUSHEREHEKEA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI, KWA MARA NYENGINE TENA KAMPUNI YA
MIKAELA GATEWAY AGENCY
WANAKULETEA KONGAMANO LA WANAWAKE
'WOMEN WITH SUCCESS ...WOMEN DIALOGUE FRONT 2013'
AMBAPO WANAWAKE WA JIJI LA MWANZA WATAKUTANA PAMOJA NA KUONGEA MAMBO MUHIMU YA MAENDELEA IKIWEMO UJASIRIAMALI NA MAMBO YA FAMILIA SAMBAMBA NA KUONESHANA BIDHAA KADHA WA KADHA ZINAZOPATIKANA JIJINI HUMO KUANZIA UREMBO,MAVAZI NK
MC ZIMPOPA POPA 4 BY 4 ATASHIKA MIC bila shaka mnakumbuka zile rap zake ambazo hurap ;) |
KUONA ZAIDI YATAKAYOJIRI HUMO
ATAKAE TOA MADA MAMA MDOE KUSHOTO MWENYE SUTI, BILA SHAKA WAKAZI WA MWANZA MNAJUA CHECHE ZAKE |
PEPSI NAO WAMETOA SUPPORT |
MWANZA CITY COUNCIL
MWANZA REVIEW
BILA KUWASAHAU RAPID PRINTERS,IDDA'S TOTO SHOP NA RASASI STORES
KWA TAARIFA YAKO .....MIMI SHAMIM MWASHA NITAKUWA NAREPORT LIVE NIKITOKEA MWANZA ,NI TARAHE 10 MARCH NDANI YA UKUMBI WA JB BELMONTE. JIJINI MWANZA
KWENYE TUKIO LA
WOMEN DIALOGUE FRONT
BOOK TIKETI YAKO MAPEMA
Post Title :
WOMEN DIALOGUE FRONT 2013 ::JIJINI MWANZA
0 comments
Post a Comment