MATEMBEZI YA HISANI YA KUSAIDIA UJENZI WA MABWENI YA WASICHANA YAKUCHA!!

 EVENT ::CHARITY WALK
ORGANIZED :: TANZANIA EDUCATION AUTHORITY (TEA)
 GUEST OF HONOR ::MARY NAGU
MC ::REGINA MWALEKWA
HABARI ZAIDI ZAMA HUMU

                 CHARITY WALK IKAZINDULIWA RASMI NA MGENI RASMI MAMA MARY NAGU

 MHESHIMIWA,NAIBU WAZIRI  shemejiii  ALIKUJA KUTUSUPPORT
MGENI RASMI MAMA MARY NAGU PAMOJA NA MKURUGENZI WA MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA ROSEMARY LULABUKA  NA MABALOZI MATEMBEZI YAKAANZA  RASMIMENEJA MAWASILIANO WA TEA SYLVIA  LUPEMBEGUNZE ALIENDA SAMBAMBA NA WANAFUNZI KATIKA MATEMBEZI HAYA
TUKAFIKA  MWISHO WA MATEMBEZI KATIKA VIWANJA VYA MICHEZO VYA CHUO KIKUU UD

                           RISALA  ZAKUHAMASISHA UCHANGIAJI HUU ZIKASOMWA
                                                                MGENI RASMI

 Mheshimiwa Lazaro Nyalandu ...Shemejii alimuita mkewe ili wakabidhi mchango wao wamilioni 12....hakika inahasishaa
                           naivuta picha ya Mr & Mrs Obama... ;)

TULICHEZESHWAJE NA BALOZI BARNABA BOY NA BENDI TOKA THT AMBAO NI MOJA KATI YA WAWEZESHAJI WA MATEMBEZI HAYA


               Mama Kijacho alikuwa pamoja nasi...jamani muwapi mashostitooo bado


NILIKOGUSWA
 lol nilizikumbuka raba zangu
NIkaspot madini ya matembezini

 niliguswa na cheni na jikofia

NIKIRIPOTI KUTOKA ENEO LA TUKIO YALIKO FANYIKA MATEMBEZI HAYA KUANZIA MLIMANI CITY HADI VIWANJA VYA MICHEZO VYA  CHUKUO KIKUU CHA MLIMANI NI
SHAMIM MWASHA WA 8020 FASHIONSHATA WEWE HUJACHELEWA KAMPENI BADO INAENDELEA  KUNA FOMU WAWEZA     CHANGIA WE NISTUE TU NIJE UTAJAZA NA KUSAINI MCHANGO WAKO
 NISTUE NIJE...
                                               0784 418941 ....shamyomy@yahoo.com

                                    FOMU IYO HAPO....SHUKRAN MLONICHANGIA
Post Title : MATEMBEZI YA HISANI YA KUSAIDIA UJENZI WA MABWENI YA WASICHANA YAKUCHA!!

MATEMBEZI YA HISANI YA KUSAIDIA UJENZI WA MABWENI YA WASICHANA YAKUCHA!!,

MATEMBEZI YA HISANI YA KUSAIDIA UJENZI WA MABWENI YA WASICHANA YAKUCHA!!

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...