The Best Moisturiser ya Clinique ( Dramatically different)


Kazi ya moisturiser ni kulisha ngozi yako ili iwe na afya na kama mjuavyo ukilisha ngozi yako na chakula kizuri yaani moisturiser nzuri , ngozi inapata afya.

Hivyo basi  clinique inakupa moisturier mbali mbali kulingana na mahitaji ya ngozi yako , wale wenye ngozi  za mafuta munashauriwa kutumia gel kwasababu gel moisturisers hazina mafuta ( ziko light and oil free), wale wenye ngozi kavu moisturiser iko creamy ili iweze kukinga ngozi na kuizuia kua kavu.Kila ngozi inahitaji moisturiser,kutotumia moisturiser mara kwa mara usababisha ngozi kua kavu na kupoteza mzuto na kutokea kwa makunjo ya usoni (wrinkles) mapema wasiliana au tembelea watalaam wa skin solutions upate ushauri zaidi ya moisturiser inayo endana na aina ya ngozi yako.

PIA UNAWEZA NUNUA BIDHAA KWA MPESA UKATUMIWA
KUONA BIDHAA ZAIDI ZAMA 
 'NO MKOROGO'......'HYDROQUINONE FREE' 
BIDHAA BOMBA!....KWA NGOZI BOMBA!... KWA BEI INAYOWEZEKANIKA!


WANAPATIKANA::BAGAMOYO RD. KABLA YA JENGO LA BARAKA PLAZA

WASILIANA NAO::0767 780014 ,0783 036666
Post Title : The Best Moisturiser ya Clinique ( Dramatically different)

The Best Moisturiser ya Clinique ( Dramatically different),

The Best Moisturiser ya Clinique ( Dramatically different)

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...