TEA FUNDRAISING DINNER

 MWISHONI MWA WIKI KULIKUWA NA FUNDRAISING DINNER ILIYOANDALIWA NA TEA KWA AJILI YA KUCHANGISHA PESA ZA UJENZI WA MABWENI YA SHULE ZA WASICHANA AMBAPO ZAIDI YAMILIONI  200 ILIKUSANYWA NA HIVYO KUWEZA KUVUKA LENGO KWA ASILIMIA 37....
ELIMU YAO WAJIBU WETU
 MGENI RASMI ALIKUWAMHESHIMIWA ASHA ROSE MIGIRO,ALIYEKUWA SAMBAMBA NAWAZIRI WA ELIMU MHESHIMIWA SHUKURU KAWAMBWA
NIKAPATA NAFASI YA KUELEZEA NILICHOCHANGISHA TOKA KWENU WADAU NASHUKURU SAANA KWA MLIONICHANGIA. MBARIKIWE NA AMBAO HAMJATOA BADO MICHANGO INAENDELEA
                    NILIMKABIDHI MGENI WA HESHIMA ASHA ROSE MIGIRO FEDHA NA MAJINA YENU WADAU WANGU

KUONA ZAIDI  YALIYOJIRI ZAMA HAPO CHINI

NANCY NA FAMILIA YAKE WALICHANGIA, NANCY  ALINISISIMUA KUSEMA ALISUKUMWA KUTOA SABABU YEYE NI MSICHANA NA ALITOA PIA KWA AJILI YA ZURI MWANAE.....inapendeza

                                          MABALOZI WA CHANGIA TOFALI
                                  KIVAZI THANKS::EVE COLLECTION

                WAFANYAKAZI WATEA NAO WALIPATA PICHA YA PAMOKO

                 TUKIO HASWA LILILOTUKUTANISHWA PALE...DINNER TYME
                                   
                       MUDA WA DINNER UKAWADIA TUKIONGEZWA NA MGENI RASMI

KUONA PICHA ZAIDI  INGIA ELIMUBORA
Post Title : TEA FUNDRAISING DINNER

TEA FUNDRAISING DINNER,

TEA FUNDRAISING DINNER

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...