RED RIBBON MWAKA JANA.... MWAKA HUU ITAKUWA VP

YALIYOJIRI MWAKA JANA NDIO HAYA ZAIDI YA FASHION SHOW KULIKUWA NA MNADA KWA AJILI YA KUCHANGIA KITUO CHA WATOTO WA 
TANZANIA MITINDO HOUSE SAMBAMBA NA DINNER

KUNA WANAOPEWA CHETI CHA KUSHUKURU KWA KUSUPPORT
R.I.P KANUMBA TUTAKUMBUKA DAIMA ,KWENYE RED RIBBON FASHION GALA
 BALOZI WA TMH NA AKIWA AMETINGA KIVAZI CHA SHERRI HILL AMBACHO KILIKUWA MNADANI
kuona yaliyojiri 
RED RIBBON FASHION GALA MWAKA JANA ZAMA

                                            MAFASHIONISTAAZ
Safari hii utatuibukia na SHERR HILL AU ALEXANDER MCQUEEN ;)
MAMA NAA...safari hii unaibuka na designer gani
Mama JJ safari hii tumsubirie VeraWang ama ;)
Naona safari hii utaibuka na KIKIS DESIGN
Mama wawili tutakumiss bado walea eee?!!

Ze MZIRAY'S wapii safari hii si tushashaa...;)


KUONA ZAIDI  WALOKUWEPO, MWAKA JANA WANA WALITINGAJE
DUMBUKIA HAPO CHINI
Faraja bila shaka tutakuwa pamoja
                              Somo Tahiya na shazi lakokama kawa nakusubiria
EVE COLLECTIONs....nakusubiriaaaa...hope utafanya zaidi ya hii
Sayonce bila shaka unaHair Do yako kwa simu na Rehema kashaoneshwa
Sharuu...Hawaa....Nawaaminia

WANAUMEEEEEERED TIE ZINAWAKHUSUUUBALL TIE  zinahuUUU

                                     safari hii ni RED TIE  & RED DRESS......

KAMA WAHITAJI TIKETI :: HOTLINE- 0755 551077
Post Title : RED RIBBON MWAKA JANA.... MWAKA HUU ITAKUWA VP

RED RIBBON MWAKA JANA.... MWAKA HUU ITAKUWA VP ,

RED RIBBON MWAKA JANA.... MWAKA HUU ITAKUWA VP

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...