WELLNESS......AFYA!!


                                                           WELLNESS!!
Umewahi kulisikia hili neno?
Kwa ufupi linasanifu dhana nzima ya AFYA.
Ila afya hii inaweza kuwa ya kimwili (physical), kiakili (mental), kipesa (financial), kinahusiano (relationship), kijamii (social), kikazi(occupational), kiroho (spiritual), kihisia (emotional), kimazingira (environmental) na hata ya kitabibu (medical).
Tunahitaji afya zote hizi kuwa kamili na wenye furaha (for optimal well-being).
Dhana hii ya WELLNESS itaelezewa kwa ufupi kwa nini ni muhimu kwako katika

 "semina hii fupi itatolewa na mwanadada mwenye uzoefu katika fani hii ya WELLNESS na anataka kuelimisha watanzania wenzake kwa nn ni dhana hii ni muhimu"
WAPI::hotel wa Blue Pearl, Ubungo Plaza,

LINI:: jumapili

 TAREHE:: 2 Desemba 2012 toka

MUDA:: saa 8 mchana hadi 1 jioni.

                                                        Uzinduzi huu utasindikizwa na 
mwanamuziki WAHU KAGWI toka Kenya akikuambia
 BETTER DAY.
“Whatever you are going through today, there always gonna be a better day”.
                 Kiingilio: 20,000/= KWA KICHWA

TIKETI ZINAPATIKANA ::   8020 FASHIONS SINZA,MARIEDO (NAMANGA/IPS/BENJAMIN MKAPA TOWER) ,SHEAR ILLUSIONS (MLIMANI CITY)

NB: HAKUNA TIKETI ZITAKAZOUZWA MLANGONI SIKU YA JUMAPILI. Deadline jumamosi saa 4 asubuhi. Siti ni chache
NB: Get ready to step on GREEN CARPET for pictures, the carpet of HEALTH

UKIHITAJI TIKETI PIGA SIMU :: 0654 083977


NJOOOO TUMSIKILIZE WAHU AKITUIMBIA BETTER DAY....HUKU TUKIPEWA SOMO JUU YA AFYA ZETU NA MENGI MENGINEYOO KWA KIINGILIO CHA ALFU 20,000 TU 
Post Title : WELLNESS......AFYA!!

WELLNESS......AFYA!!,

WELLNESS......AFYA!!

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...