WILDAF:: FUNGUKA!! KEMEA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE SOTE TUWAJIBIKE!!

MGENI RASMI WANGU WA SHEREHE ZA MIAKA MITANO YA 8020FASHIONSBLOG ,NAIBU WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, ANGELLA KAIRUKI ALIKUWA MGENI RASMI KATIKA MAANDANO NA UZINDUZI WA KAMPENI HII YAKUKEMEA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE ILIYOANDALIWA NA SHIRIKA LA WANAWAKE KATIKA KATIKA SHERIA NA MAENDELEO AFRIKA (WILDA) AMBAYO MWENYEKITI WAKE NI MHESHIMIWA NAOMI KAIHULA (MWALIMU WANGU HUYU CBE)


HAKIKA TWAHIJATI FUNGUKA  kama wanawake kukemea ukatili dhidi yetu wanawake na Sote tuwajibike
BALOZI WA IRELAND NCHINI,FIONNUALA GILSENAN AKIKATA UTEPE WA GARI  ITAKAYOTUMIWA NA WADAU WA WILDAF  KUASHIRIA SAFARI IMEANZA NA WATAKUWA WANAZUNGUKA KUTOA ELIMU JUU YAUKATILI NA JINSI YA KUFUNGUKA

HABARI ZAIDI INGIA HUMU KWA ANKAL
Post Title : WILDAF:: FUNGUKA!! KEMEA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE SOTE TUWAJIBIKE!!

WILDAF:: FUNGUKA!! KEMEA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE SOTE TUWAJIBIKE!!,

WILDAF:: FUNGUKA!! KEMEA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE SOTE TUWAJIBIKE!!

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...