UWF CHARITY WALK

HAYA WADAU KWA MARA NYEINGINE TENA 
UNITY OF WOMEN FRIENDS 'UWF'
 WANATUALIKA KUUNGANA NAO KATIKA MATE,MBEZI YA HISANI YA KUCHANGIA WATOTO 100 KUTOKA SHULE ZA.TABATANA  TANDIKA

MATEMBEZI YATAFANYIKA 
TAREHE :: 8 DESEMBA
KUANZIA ::POLICE OFFICERS MESS KILOMETA 5
KUISHIA ::POLICE OFFICERS MESS
MUDA ::SAA 12 ALFAJIRI
TIKETI YA KUSHIRIKI NI SHILINGI ::20,000 tu (WAPATA NA T-SHIRT)
TIKETI ZAPATIKANA:: MINI ARGOS,CLOUDSFM,OFISI ZA UWF)
WASILIANA NAO :: 0786 101033
Post Title : UWF CHARITY WALK

UWF CHARITY WALK,

UWF CHARITY WALK

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...