UREMBO HUU....HAYA ANGALIENI UREMBO WA SENEGALI


HAKIKA UKIISTAJABU YA MUSA UTAONA YA FIRAUNI,.....HAYA UREMBO HUU UNAAMBIWA SI KIMAKONDE WAKUJICHORA CHALE USONI AU WANDONYA WAWAGOGO AU KUJITOGA MASKIO YA KIMASAI AMBAPO NI MILA NA DESTURI ZAO BALI HAWA NI WAREMBO WANCHINI SENEGALI WASICHANA TU, WANAJIREMBA KWA KUCHORWA TATUU ZA FIZI, NA FISI ZIKIWA NYEUSI BASI MENO HUONEKANA MEUPE NA WANADAI NDO UREMBO HUO NA CHEKO (SMILE) INAPENDEZA NA WANAKWAMBIA HATA KUTEGA WACHUMBA UNATEGA

FIZI JEUSIII BASI NDO BURUDANI NA UREMBO WENYEWE ,MAANA BAADA YA KUSOMA HII IMEBIDI NIENDE KWENYE KIOO KUJIANGALIA FIZI YANGU NI RANGI GANI ;)                                              shughuli yakutia fizi tatuu ikiendelea
SHOST HAPA ALIISHIA MPAKO WA TATU KWA AJINSI INAVYOUMA MIPAKO SABA NDO INANOGA...INAVYOUMA SASA
                            WAAMBIA IYO PODA NI MCHANGANYIKO WA OIL NA SHEA BUTTER AMBAYO HUDUNGWA FIZINI
KUONA VIDEO JINSI TATUU ZINAVYOWEKWA INGIA BONGOUREMBO UREMBEKE


Post Title : UREMBO HUU....HAYA ANGALIENI UREMBO WA SENEGALI

UREMBO HUU....HAYA ANGALIENI UREMBO WA SENEGALI,

UREMBO HUU....HAYA ANGALIENI UREMBO WA SENEGALI

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...