UREMBO HUU...UKISTAAJABU YA MUSA...

HAYA KUTANA NA HILI INGIZO JIPYA NIGERIA AMBAPO WANAUME WANAWEKA TATOO YA PINK KWENYE MIDOMO YAO, KAMA UNAVYOONA PICHANI KUONA PICHA YA VIDEO ZAMA
                                        SOMA HABARI ZAIDI HAPO CHINIBADO NAJIULIZA NI WALE WAKAKA WENZETU NA SISI AU WAMEKAMILIKA MAANA  KAMA NDO UREMBO HUU, SOON TUTAFUNIKWA KINADADA, MHUSIKA WA SALOON ANASEMA WATEJA WAPATAO KUMI HUFIKA KUWEKA TATOO YA RANGI YA PINK AU NYEKUNDU HUSUSAN WALE WENYE MIDOMO MYEUSI KWA DOLA 30 TU SAWA NA KAMA ALFU 50 KWA PESA ZA MADAFU
....je kina kaka wakibongo mwaionaje hii....


KUONA  VIDEO ZAMA

mnawakumbuka wadada wa SENEGALI ...walokuwa wanaweka tatoo za FIZI ONA HUMU

Post Title : UREMBO HUU...UKISTAAJABU YA MUSA...

UREMBO HUU...UKISTAAJABU YA MUSA...,

UREMBO HUU...UKISTAAJABU YA MUSA...

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...