Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Bw.Rene Meza akabidhi hundi na vyeti kwa wafanyakazi bora wa Mwezi.

  Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza(kulia)akimkabidhi Abella Tarimo, Meneja biashara wa Vodacom Tanzania zawadi ya ngao na cheti kwa kuwa mfanyakazi bora katika kuunganisha idara zote kwa wakati na utendaji kazi kiufanisi. Anaeshuhudia katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya huduma kwa wateja Harrieth Lwakatare. Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza wa saba toka kushoto akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa kitengo cha Jasiliamali watu mara baada ya zawadi ya ngao na cheti wakati alipokuwa akikabidhi zawadi mbalimbali kwa wafanyakazi bora wa kampuni hiyo.

Post Title : Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Bw.Rene Meza akabidhi hundi na vyeti kwa wafanyakazi bora wa Mwezi.

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Bw.Rene Meza akabidhi hundi na vyeti kwa wafanyakazi bora wa Mwezi.,

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Bw.Rene Meza akabidhi hundi na vyeti kwa wafanyakazi bora wa Mwezi.

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...