WOMEN CELEBRATION 2013:: MAIN SPONSOR EXIM BANK WEF- TUMAINI ACCOUNT


YES KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI NA KATIKA
 8020 FASHIONS BLOG
 KUISHEREHEKEA NA WANAWAKE  SHEREHE YA
 WOMEN CELEBRATIONS 2013
TUKASEMA TUSIJE KUTANA KULA NA KUNYWA TU BALI PIA TUPEANE MAMBO MAZURI AMBAPO NILIWAONA
 EXIM BANK
  NAO WAKANIAMBIA WANA KITU KIZURI KWA WANAWAKE AMBACHO NI AKAUNTI YETU SISI WANAWAKE WAMEIPA JINA LA 
TUMAINI ACCOUNT
MIMI NAWASHAURI WANAWAKE WOOTE TUWE NA HII AKAUNT YA TUMAINI KAMA ILIVYO JINA LAKE INALETA TUMAINI KWETU SISI, WAJASIRIAMALI, WAFANYAKAZI, WAMAMA WA NYUMBANI NK KWANI HAIMBAGUI MWANAMKE YEYOTE ZAIDI UKIWA NA HII AKAUNT AMBAYO UNAFUNGUA KWA SHILINGI YA KITANZANIA  ALFU TANO TU (5000 /=) 


HIVYO BASI HATA WEWE MWANAMKE LEO HII KAMA WATAKA FUNGUA ACCOUNT NENDA EXIM BANK FUNGUA TUMAINI ACCOUNT , NA UKIKOSA MUDA SIKU HIYO UJE NA ALFU YAKO TANO (5000)  TU UFUNGULIWE ACCOUNT.

MAMBO YA KIKE ..KIKENI SHOST ;)

                              SIKU YETU!!...SHUGHULI YETU!!....KWA RAHA ZETU!!
Post Title : WOMEN CELEBRATION 2013:: MAIN SPONSOR EXIM BANK WEF- TUMAINI ACCOUNT

WOMEN CELEBRATION 2013:: MAIN SPONSOR EXIM BANK WEF- TUMAINI ACCOUNT,

WOMEN CELEBRATION 2013:: MAIN SPONSOR EXIM BANK WEF- TUMAINI ACCOUNT

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...