WOMEN CELEBRATIONS 2013 ::SPONSORS ::COCO BOUTIQUE

KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI WAPO SPONSORS AMBAO WAMESHAJITOKEZA KUSHIRIKIANA NA 8020 FASHIONS BLOG
AKIWEPO 
COCO'S CLOTHING STORE
AMBAPO SIKU HIYO ATAKUWEPO FULL NA VITU VYAKE ANAVYOUZA ZIKIWEPO NGUO,POCHI ,VIATU,VIJIMKANDA NA ACCESORIES
UNAWEZA WATEMBELEA UTAPATA VITUPIO ILI UENDE SAMBAMBA NA DRESS CODE YA #AFRICANPRINT UKANOGESHEA KWA POCHI AU KIATU KAMA SI VITUPIO, #AFRICANPRINT MWENZIO KIKOLOMBWEZO SHOST
 WANAPATIKANA :: 1st FLOOR MILLENIUM TOWER ,K-NYAMA
WASILIANA NAO :: 0713 318881

 
  PATA PICHA HIYO TOP UNAIUNGANISHIA NA SKET YA #AFRICANPRINT
ANA KT NA MCHUCHUMIO. NENDA LEO UKALIONE NA UJISEVIE CHA TAR 3 MARCH NA SIKU IYO ATAKUWEPO UKUMBINI KWENYE SHOPPING BAAZAR....uje na ndala viatu vipo COCO'S BOUTIQUE
ONA VIMKANDA IVO UKITUPIA JUU YA #AFRICANPRINTS UTAKUCHAJEEEE?!!

      SIKU YETU....SHUGHULI YETU .....KWA RAHA ZETU
Post Title : WOMEN CELEBRATIONS 2013 ::SPONSORS ::COCO BOUTIQUE

WOMEN CELEBRATIONS 2013 ::SPONSORS ::COCO BOUTIQUE,

WOMEN CELEBRATIONS 2013 ::SPONSORS ::COCO BOUTIQUE

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...