WOMEN CELEBRATIONS 2013 ::TIKETI ZIKO MTAANI


HAYA WANAWAKE TIKETI YA SHUGHULI YETU SASA ZIKO MTAANI NA KWA WALE MLIOKUWA MMEBOOK MEZA, NI NYIE KUSEMA MKO TAYARI ILI TUWEZE KUWALETEA TIKETI ZETU (RESERVED)
NA KAMA UNAHITAJI MEZA YA WATU KUMI 
SHOSTISTO TABLE  300,000/=
PIGA NAMBA
0784 418941 AU 0755  551077 (ULETEWE TIKETI)

KWA TIKETI ZA MOJA MOJA ZITAPATIKANA
SHEAR ILLUSIONS (MLIMANI CITY)
8020 FASHIONS (SINZA MAPAMBANO)
SILVER BOUTIQUE (POSTA AZAM)
VIATUZI (SEA VIEW UPANGA)
ROZELLA FASHIONS (KINONDONI)
MAZNAT BRIDAL SALOON ( MIKOCHENI )
JACKZ COSMETICS ( KINONDONI TX MARKET)UTAPATA NA ZAWADI
FABAK FASHIONS (MIKOCHENI KWA WARIOBA)
AMAYA BEAUTY SALOON & SPA (POSTA)

ANGALIZO
TIKETI HAZITOUZWA MLANGONI

                                                                                                  TIKETI HIZI HAPA
TIKETI NI ALFU 30,000 /= ( PAMOJA CHAKULA  (BUFFE KUTOKA TALMA CATERING NA WELCOME DRINK MEZANI) 
NA KINYWAJI CHA KUONJA TOKA WINDHOEK
 NA PIA KUTAKUWA NA CASH BAR (UTAJINUNULIA KINYWAJI CHAKO KWA
PESA YAKO)
NA PIA KUTAKUWA NA WALE WATAALAM WA COCKTAIL MJINI
 BLIND TIGER
WATAKAOKUWA NA COCKTAIL ZAO ZA AINA TOFAUTI ZENYE KILEVI NA ZISIZO NA KILEVI NAKO UTAJISEVIA KWA PESA YAKO

BURUDANI ITALETWA KWENU NA RESPECT DJ'S PAMOJA NA MALKIA WA MIPASHO KHADIJA KOPA

BENDI YA MELODY PAMOJA NA SABAH MUCHACHO


RATIBA ITAANZA SAA 5 ASUBUHI,TAFADHALI TUZINGATIE MUDA

SIKU YETU!!....SHUGHULI YETU!!........KWA RAHA ZETU!!
Post Title : WOMEN CELEBRATIONS 2013 ::TIKETI ZIKO MTAANI

WOMEN CELEBRATIONS 2013 ::TIKETI ZIKO MTAANI,

WOMEN CELEBRATIONS 2013 ::TIKETI ZIKO MTAANI

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...