WOMEN'S CELEBRATION 2013 MARCH 3


JE UNATAKA UJE KUSHEREHEKEA NASI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI??
 UNA MASHOST ZAKO AU MNAKIKUNDI CHENU?!!
MNGEPENDA MJE?!!
BOOK MEZA YA WATU KUMI  (SHOSTITO TABLE) KWA SH LAKI TATU 300,000
BOOK  TIKETI YAKO KWA SH 30,000 (PAMOJA NA CHAKULA CHA MCHANA )

TUTASHEREHEKA
 TAREHE:: 3 MARCH 2013

SIKU YA ::JUMAPILI
MUDA ::SAA 5 ASUBUHI

  UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE VIP
KIVAZI ( DRESS CODE) ::AFRICAN PRINT:KITENGE,KANGA,BATIK,BAZEE

AHSANTE KWA WAWEZESHAJI ::
EXIM BANK ::MDHAMINI MKUU
WINDHOEK LAGER ::  KINYWAJI RASMI
 KZ SECURITY :: KWA USALAMA WAKO NA MALI ZAKO
SHEAR ILLUSIONS, MIMIS COLLECTION , PIXEL BASE & COCO'S  CLOTHING STORE,CLIMAX ,MMG, RESPECT DJ'S 

 KUWASILIANA NASI PIGA
 0784 418941 AU 0755 551077
EMAIL ::Shamyomy@yahoo.com

SIKU YETU!! SHUGHULI YETU!! KWA RAHA ZETU!!
Post Title : WOMEN'S CELEBRATION 2013 MARCH 3

WOMEN'S CELEBRATION 2013 MARCH 3,

WOMEN'S CELEBRATION 2013 MARCH 3

0 comments

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...